BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MWANAFUNZI WA UDSM KITIVO CHA SHERIA ALIYEPIGWA RISASI NA MAJAMBAZI HUYU HAPA.

ALEX ROBERT AKIWA KATIKA POZI WAKATI WA MAPUMZIKO.
WANAFUNZI WA CHUO HICHO MWAKA WA NNE PAMOJA NA MKUU WA KITOVO CHA SHERIA PROFESA BONAVENTURE RUTINWA WAKIMWOMBEA MWENZAO AENDELEE KUWA SALAMA NA UPASUAJI HUO UFANYIKE VIZURI KATIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI DAR ES SALAAM JUNI 21.
WANAFUNZI WA CHUO HICHO MWAKA WA NNE WAKIONESHA MSHIKAMANO WAKISUBIRI MWENZAO ALEX ROBERT AKIWA THIETA WAKATI WA OPERESHENI KATIKA HOSPITAL YA TAIFA MUHIMBILI .
ALEX ROBERT KULIA AKIWA NA RAFIKI ZAKE
ALEX ROBERT
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: