BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MWENYEKITI WA TLP AUGUSTINO MREMA AMJULIA HALI NASSARU HOSPITALI YA MUHIMBILI DAR ES SALAAM BAADA YA KUSHAMBULIWA.

Mbunge wa Vunjo-TLP, Mh. Agustino Lyatonga Mrema akimjulia hali mbunge wa Arumeru Mashariki-Chadema, Joshua Nassari. Mbunge wa Arumeru Mashariki-Chadema, Joshua Nassari akionesha simu yake ya mkononi iliyokuwa na matukio ya tukio la kufavamiwa kwake.

 Mbunge wa Arumeru Mashariki-Chadema, Joshua Nassari akiwa katika hospitali ya Taifa muhimbili jijini Dar es Salaam jana akipata matibabu baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana wakati wa mkutano wa kampeni za udiwani jijini Arusha.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: