BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

SOKO KUU LA MKOA WA MOROGORO KUVUNJWA.

Sehemu ya mbele ya soko kuu la mkoa wa Morogoro ambalo linatarajiwa kuvunjwa na kujengwa jipya, jengo hilo ni miongoni mwa majengo ya kale ambalo lilijeng
wa mwaka 1953 na wakoloni.


Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments:

Anonymous said...

kaka tunaomba ututafutie ukweli wa ujenzi wa soko kuu morogoro umekwama wapi na mchoro wa soko hilo. Tumechoshwa na uchafu wa eneo la soko.