Msafara wa Rais Barrak Obama Ukiwa Eneo la Mwenge Kuingia Barabara ya Sam Mujoma ukiwa njaini kuelekea Ubungo kukagua mitambo ya kuzalisha umeme ya symbion Leo asubuhi
Msafara uliombeba rais wa Marekani Barrack Obama ukiwa eneo la Ubungo kwenye makutano ya barabara ya Moarogoro na Sam Mujoma leo asubuhi
Rais wa Marekani Akiwa anaingia eneo la tanesco Ubungo leo asubuhi ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya siku mbili aliyoianza Jana hapa Nchini
Gari la usalama wa Rais wa Marekani.
Msafara wa Rais wa marekani ukiwa eneo la tazara Kuelekea uwanja wa ndege tayari kuondoka mara baada ya kumaliza ziara yake hapa nchini leo.Picha na Mwinyi

0 comments:
Post a Comment