BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

TASWIRA YA RAIS OBAMA AKIWA UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM LEO.

Rais Kikwete Akimtambulisha Katibu mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Mh Elakim Maswi kwa Rais Barrack Obama wa Marekani  wakati alipotembela mitambo ya kufua umeme ya symbion leo asubuhi
Rais Barrack Obama akiteta jambo na  Katibu mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Mh Elakim Maswi  wa kwanza kushoto, Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh Mecky Sadiq wa pili,Waziri wa Nishati Mh Sospeter Muhongo  na rais kikwete nyuma leo.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: