Katika
kulikimbilia basi hilo alikutana na vigingi tofauti lakini
kijana yule
wa kivetnam hakukata tamaa ya kulifikia basi la Arsenal na kuwaona
wachezaji wa timu aipendayo.
Baada ya
kulikimbiza basi hilo kwa muda mrefu hatimaye kijana
huyo alipata msaada
kutoka kwa mwenye pikipiki na kuufikia
mlango wa basi hilo na wachezaji
wa Arsenal wakamfungulia
mlango kisha kumpokea kwa furaha.
Kijana huyo alitimiza ndoto yake baada ya kupiga picha na
wachezaji wote pamoja na kocha Arsene Wenger.
0 comments:
Post a Comment