Pundamilia naye yupo
Wakazi wa Jiji la Dar wakimuangalia Sokwe katika banda la Maliasili na Utalii ndani ya viwanja vya Sabasaba
Wakazi wa Dar wakiwaangalia Simba katika banda lao
Mnyama Chui
Wakazi wa Jiji wakimwangalia Chatu huku wengine wakipata maelezo ya Chatu kutoka Kwa Mfanyakazi wa Maliasili na Utalii
Wakazi
wa jiji wakiwa wanatoka nje na wengine wakiwa wanaingia katika banda la
Maliasili na Utalii lililopo Katika Viwanja Vya Sabasaba
Moja ya Nyumba za wazanaki iliyopo katika Banda la Maliasili na Utalii katika Maonyesho ya Sabasaba
Wakazi wa Jiji La Dar wakiingia katika Viwanja vya Maonyesho ya 37 ya kibiashara za kimataifa
0 comments:
Post a Comment