(Advera Senso Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania)
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
JESHI LA POLISI TANZANIA
Anuani
ya Simu
“MKUUPOLISI”
nbsp;
Ofisi ya Inspekta Jenerali wa Polisi,
Simu
: (022) 2110734
Makao Makuu ya Polisi,
Fax
Na. (022)
2135556
S.L.P. 9141,
30/06/2013
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Kwamba,
Jeshi la Polisi linazo taarifa za kuaminika kuhusu watu hawa,
wanaoonekana katika hizi picha, ambao wamekuwa wakijihusisha na vitendo
vikubwa vya kihalifu hapa nchini na katika maeneo mbalimbali nje ya nchi
yetu.
Jeshi
la Polisi linatoa wito kwa wananchi wote wazalendo na wenye mapenzi
mema na nchi yetu, kutoa taarifa za watu hawa popote watakapoonekana
katika kituo chochote cha Polisi kilicho caribĂș, ili waweze kukamatwa na
kufikishwa kwenye mkondo wa sheria.
Ndugu
mwananchi, hata kama ni ndugu yako, usisite kutoa taarifa za watu hawa
kwa sababu ni watu hatari sana. Zawadi nono itatolewa kwa yeyote
atakayefanikisha kukamatwa kwa watu hao.
Kwa taarifa unaweza pia kupiga Makao Makuu ya Polisi kwa kutumia simu namba 0754 78 55 57.
Imetolewa na:-
Advera Senso – SSP
Msemaji wa Jeshi la Polisi(T)
About mtanda blog
Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
0 comments:
Post a Comment