Rais
Barack Obama wa nchini Marekani na Mkewe Michelle Obama wakiwa sambamba
na watoto wao,wakiwasili mchana huu kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa
wa Mwalimu Nyerere,jijini Dar es Salaam mchana huu kwa ziara ya siku
mbili hapa nchini.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mgeni wake Rais wa Marekani,Barack
Obama aliewasili nchini Mchana huu kwa ziara ya kikazi ya Siku mbili.
Rais Barack Obama akikwagua Gwaride maalum alilioandaliwa akiongozwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi,Jenelari Davies Mwamunyange.
Rais
Barack Obama na Mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete wakiangalia ngoma za
asili zilizokuwa zikitumuiza uwanjani hapo.kushoto ni Mke wa Rais wa
Marekani,Michelle Obama.
Rais Barack Obama akiagana na Mama Salma Kikwete
Msafara wa Viongozi ukiondoka Uwanja wa Ndege.
Picha zaidi zitawajia baadae kidogo,kwa sasa tuanze na hizi kwa hisani ya TBC.Kupitia Kwa Michuzi Blog
About mtanda blog
Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
0 comments:
Post a Comment