HAYA ni majibu ya Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mh. January
Makamba akijibu maswali katika mtandao wa Twitter kuhusu kodi mpya ya
TZS 1,000 kwa mwezi kwa kila line ya simu.
Amesema kwamba Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia iliipinga kodi hiyo.
Amesema kwamba Hazina (Wizara ya Fedha) walikubaliana na maoni ya
Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia kuhusu kodi hiyo.
Amesema kwamba Bunge ndilo lililopitisha kodi hiyo na si Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia.
0 comments:
Post a Comment