Mke
wa Rais wa Markani mama Michelle Barack Obama akiwasili katika ofisi za
Wanawake na Maendeleo WAMA jioni hii wakati alipotembelea katika ofisi
hiyo na kuwa na mazungumzo na mwenyeji wake Mwenyekiti wa WAMA Mama
Salma Kikwete katika makao makuu ya taasis hiyo leo, Rais Barack Obama
na Mke wake Michelle Obama wako katika ziara ya siku mbili ya kikazi
nchini Tanzania wakiongozana na watoto wao jioni hii Rais Barack Obama
atakuwa na mazungumzo na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete na pia
watazungumza na waandishi wa habari Ikulu kabla ya kuendelea na kazi
zingine.
PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWEMama Mchelle Obama akielekea katika lango kuu la ofisi za WAMA jioni hii.Mama Michelle Obama akilakiwa na mwenyeji wake mama Salma Kikwete wakati alipowasili katika ofisi hizo kwa mazungumzo mafupi.
Mama Michelle Obama akipozi kwa picha na mwenyeji wake mama Salma Kikwete Wake wa viongozi wakipunga bendera kama ishara ya kumpokea Mama Michelle ObamaMama
Anna Mkapa ambaye pia ni mwenyekiti wa taasisi ya EPTF akiongozana na
mama Aisha Bilal wakati wa mapokezi ya Mke wa Rais Barack Obama Mama
Michelle Obama katika ofisi za WAMA jioni hiiMakachero wa Marekani wakiwa kazini Mama
Salma Kikwete akiwapungia mkono wake wa Viongozi wakati alipowasili
katika ofisi za WAMA tayari kwa kumpokea mgeni wake Mama Michelle Obama.About mtanda blog
Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
0 comments:
Post a Comment