BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

TANZANIA YAKOPESHWA MKOPO WA SH87BILIONI ZA UJENZI WA VITUO VYA KUHIFADHIA VITAMBULISHO VYA TAIFA NA BENKI YA EXPORT IMPORT YA KOREA.

Waziri wa Fedha Dkt.William Mgimwa na Mwenyekiti na Rais wa Benki ya Export Import ya Korea wakisaini  mkataba wa mkopo kwa ajili ya kujenga vituo vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa leo jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Fedha Dk.William Mgimwa na Mwenyekiti na Rais wa Benki ya Export Import ya Korea  wakiangalia mikataba ya mkopo baada ya kusaini kwa ajili ya kujenga vituo vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa leo jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Fedha Dk.William Mgimwa kushoto akiwa na Mwenyekiti na Rais wa Benki ya Export Import ya Korea  wakionyesha mkataba wa mkopo wenye thamani ya shilingi billioni 87 za kitanzania, waliosaini kwa ajili ya kujenga vituo vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa leo jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Fedha Dk.William Mgimwa (kushoto)akimpa mkono wa shukrani Mwenyekiti na Rais wa Benki ya Export Import ya Korea baada ya  kusaini  mkataba wa mkopo kwa ajili ya kujenga vituo vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa leo jijini Dar es Salaam.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: