Ndege ya Asiana 214 ikiwa imeungua kwa ndani na kuharib
ika kabisa.
Ndege ya Asiana 214 ikiteketea kwa moto baada ya kuanguka kwenye uwanja wa kimataifa wa San Frans
isco hapo jana July 06, 2013
Magari ya zima moto yakiendelea kuzima moto kwenye ndege ya Asiana 214 iliyoungua hapo jana July 06, 2013.
Msemaji mkuu wa uwanja wa San Francissco, Doug Yakel akiongea na vyombo vya habari baada ya ndege ya Asiana 214 kuwaka moto.
Moshi mkubwa ukionekana angani
Baada ya kumaliza kuzima mito ndege ya Asiana 214
Huu ndio uwanja wa San Francissco ambako ndege ya Asiana 214 ilianguka na kuungua moto
Kevin Cheng akiongea na simu baada ya ndege ya Asiana 214 kuanguka na kuwaka moto kwenye uwanja wa kimataifa wa San Fransisco.
0 comments:
Post a Comment