- RECENT POSTS
- SAMAHANI SANA KWA HILI NAJUA SI MAHALA PAKE, ILA SISI SOTE LINATUGUSA kama WATZ na WAJASIRIAMALI!
"TUmefika hapa kwa sababu ya UDHAIFU wa RAIS KIKWETE, TUMEFIKA HAPA KWA UZEMBE WA WABUNGE na TUMEFIKA HAPA KWASABABU YA UPUUZI WA CCM"
Naongea haya kwa sababu CCM, chama kilicho na wabunge wengi katika bunge letu ndio waliopitisha tozo hizi, tena kwa kishindo wakati wa kujadili bajeti. kwa kuunga mkono bajeti 100%
Tena katika kuonesha kuwa hawakuwa na dhamira ya dhati na walilenga kumkomoa mlipa kodi mtanzania, maamuzi ya kupitisha tozo hizi katika simu zetu waliyafanya wakati watetezi wa watanzania, wabunge wote wa CHADEMA walipokuwa katika msiba mkubwa wa wanachama wao waliolipukiwa na bomu jijini Arusha.
CCM acheni unafiki kuwahadaa watanzania. Au mmepanga iwehivyo halafu ionekane mnakemea serikali wabadilishe mseme serikali yetu ya MAFISADI SI SIKITU
About mtanda blog
Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
0 comments:
Post a Comment