BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

WANAWAKE HATARI NA KATILI....AMNYOFOA KIPANDE CHA ULIMI MUMEWE ATI KISA.....HUKO NGARA KIGARA...!!

 
Anord Nyabenda akionesha Ulimi wake namna ulivyokatwa kwa meno na mkewe. 

Imeelezwa kuwa chanzo ni wivu wa kimapenzi kati yake na mkewe. 

Hadi sasa mwanamke hajafika Hospitalini alikolazwa kwa matibabu ili kujulia hali mwenzake.
 
Kumfanyia mwenzi wako kitu hiki ni hatari sana...

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: