WATU wanaodhaniwa kuwa ni Majambazi wamevalia sare za Jeshi la Polisi
wamevamia Habib Afriican Bank Kariakoo DSM na kupora kiasi kikubwa cha Fedha.
Jeshi la polisi kanda maalum wamethibitisha kutokea kwa tukio hilo. Endelea kufuatilia taarifa zetu za habari. chanzo ITV

0 comments:
Post a Comment