Mwakilishi wa Jimbo la Kiembe Samaki Mkoa wa Mjini
Magharibi-Zanzibar,Manzour Yusuf Himid amevuliwa uanachamana Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) akituhumiwa kushindwa kusimamia malengo ya CCM na kutekeleza masharti ya uanachama. CHANZO ITV.
Mwakilishi wa Jimbo la Kiembe Samaki Mkoa wa Mjini
Magharibi-Zanzibar,Manzour Yusuf Himid amevuliwa uanachamana Halmash
0 comments:
Post a Comment