AILISHA AMBAPO SEPTEMBEA 17 MWAKA HUU ITASOMWA TENA.
SHEIKHE PONDA ISSA PONDA AKISIKILIZA JAMBO KUTOKA KWA MAWAKILI WAKE IGNAS TARIMO KUSHOTO NA JUMA NASSOUR MUDA MFUPI KABLA YA KUANZA KWA KESI YAKE KATIKA MAHAKAMA HIYO.
ASKARI WENYE SARE NA WALE WASIO NA SARE WAKIWA WAMEIMARISHA ULINZI KATIKA JENGO LA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI MOROGORO WAKATI WA USIKILIZAJI WA KESI HIYO.
SHEIKHE PONDA AKIZUNGUMZA NA WAKILI WAKE, JUMA NASSOUR MARA BAADA YA KUGHAILISHA KESI YAKE.
MKE WA SHEIKHE PONDA NAYE AKIWA SAMBAMBA NA ASKARI, MKE HUYO ALISIMAMA ENEO HILO ILI KUMJULIA HALI MEMEWE.
MAGARI YA ASKARI WA KIKOSI CHA KULIZA GHASIA YAKIWA TAYARI KWA AJILI YA KUSINDIKIZA BASI LILILOMBEBA SHEIKHE PONDA KWENDA KATIKA MAGEREZA YA MKOA MOROGORO KWA MAPUMZIKO KABLA YA KUANZA SAFARI YA KWENDA KATIKA MAGEREZA YA SEGEREA DAR ES SALAAM.
ASKARI WAKIWA WAMEIMARISHA ULINZI WAKATI USIKILIZAJI WA KESI HIYO.
WAUMINI WA DINI YA KIISLAM WAKITEMBEA KATIKA BARABARA YA OLD DAR ES SALAAM ENEO LA SHAN WAKATI WAKIELEKEA KATIKA MSIKITI MKUU WA MKOA WA MOROGORO ILI KUWEZA KUELEZWA KILICHOJILI KATIKA KESI YA SHEIKHE PONDA ISSA PONDA BAADA YA WENGI WAO KUSHINDWA KURUHUSIWA KWENDA KUSHUDIA MWENENDO WA KESI HIYO KATIKA JENGO LA MAHAKAMA.
0 comments:
Post a Comment