BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HILI GARI NDILO LILILOHUSIKA KATIKA AJALI ILIYOUA WATU 13 MKOANI SHINGANYA.

PICHA YA IKIWA IMEHARIBIKA VIBAYA SEHEMU YA MBELE AMBAPO KATIKA AJALI HIYO WATU 13, WAMEFARIKI DUNIA NA WENGINE 11 KUJERUHIWA KUFUATIA AJALI HIYO ILIYOTOKEA MAJIRA YA USIKU WA KUAMKIA LEO KATIKA KIJIJI CHA NGONGWA MKOANI SHINYANGA IKIHUSISHWA GARI AINA YA HIACE T 756 CHX NA GARI LILILOKUWA LIMEHARIBIKA T 696 AMS.

AKIZUNGUMZA KWA NJIA YA SIMU KAIMU KAMANDA WA POLISI MKOA WA SHINYANGA, KIHEMA KIHEMA, ALISEMA KUWA MIONGONI MWA WATU WALIOFARIKI DUNIA NI PAMOJA NA DEREVA WA HIACE, ILIYOKUWA NA ABIRIA HAO IKITOKEA KAHAMA KUELEKEA USHIROMBO AMBAYE ALIFARIKI PAPO HAPO, HUKU MAJERUHI WAKIPELEKWA KUPATIWA HUDUMA YA KWANA KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA KAHAMA.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: