BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

TASWIRA YA WAZIRI MKUU BUNGENI MJINI DODOMA LEO.

IMG_0491 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na  Wabunge wa Upinzani  kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Agosti 28, 2013.  Kustoka kushoto ni Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila, Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari na Mbunge wa Ilemela, Highness Kiwia. (picha na Ofisi ya waziri Mkuu).
IMG_0462 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mbunge wa Kahama James Lembeli (kushoto) na Mbungewa Mafia, Abdulkarim Shah (katikati) kwenye Ofisi za Bunge Mjini Dodoma Agosti 28,2013. (Picha na Ofisi ya WaziriMkuu)  IMG_0476 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Makamu wa Pili wa rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi, Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma Agosti 28, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMG_0480 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Agosti 28, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMG_0511 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitetana Mbunge wa Ilemela, Highness Kiwia kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma. Augosti 28, 2013. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: