KIOTA
maarufu cha starehe jijini Dar es Salaam cha Samaki Samaki tawi la
Mbezi–Makonde jijini Dar es Salaam leo kimeteketea kwa moto. Moto huo
ambao bado haijafahamika umetokana na nini umeteketekeza kila kitu
kwenye Mgahawa huo.
About mtanda blog
Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
0 comments:
Post a Comment