BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HIZI NDIZO FAIDA ZA PAPAI NA JUISI YAKE, INA LYCOPENE INAYOPUNGUZA KANSA YA KIBOFU.





 papaya juice is effective for skin and health   
Hizi ni baadhi ya faida ambazo unaweza kuzipata kwa kula papai au kunywa juisi yake

  • Papai lina fibrin ambayo hupunguza  kuganda kwa damu
  • Fibrin inaweza kuzuia kiharusi
  • Lycopene iliyomo katika papai inaweza kupunguza hatari ya kansa ya kibofu
  • Mbegu za papai hutibu homa ya matumbo (typhoid)
  • Juisi ya papai huondoa sumu mwilini
  • Juisi ya papai hutibu vyema shinikizo la damu
  • Juisi ya papai husaidia kuzuia magonjwa ya moyo
    Juisi ya papai ina folate, vitamini C na E ambavyo huzuia saratani ya utumbo.
  • Juisi ya papai hujenga kinga ya mwili
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: