BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

SKY CITY NDILO JENGO LINALOTARJIA KUVUNJA REKODI YA KUWA JENGO REFU ZAIDI DUNIA KULIKO YOTE 2014.

skycity980
MAJENGO marefu duniani yamekua kama alama na vivutio vya majiji mbalimbali ambapo mfano mzuri ni Hotel maarufu ya Burj al Arab iliyojengwa ndani kidogo ya bahari kwenye jiji la Dubai.

Hivi sasa jengo refu duniani ni Burj Khalifa ambalo lipo Dubai na lina urefu wa mita 828 na unaambiwa ukifika mwaka 2014 ndio utakuwa mwisho wa utawala wake kwa kuwa jengo refu zaidi duniani kwa sababu sasa hivi huko China kuna jengo linaitwa Sky City One ambalo litakuwana urefu wa mita kumi zaidi ya Burj Khalifa na limeshaanza kujengwa.
130802032124-worlds-tallest-buildings-sky-city-horizontal-gallery
Majengo marefu duniani na urefu wake
Jengo hilo ambalo litagharimu zaidi ya ¥5.2 billion za kichina linakadiriwa kukamilika April 2014 na kuanzisha historia mpya ya jengo refu kuliko yote duniani.sky-city-one-04
Huu ni mchoro wa computer
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: