KATIBU
Mkuu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda
amesomewa mashitaka ya uchochezi na Mwanasheria wa serikali, akiwa
wodini MOI anapoendelea kupata matibabu.
Baada ya kujeruhiwa Ponda alilazwa katika
hospitali ya Taifa Muhimbili kabla ya kuhamishiwa katika Taasisi ya
Mifupa (MOI) aliposomewa mashitaka. Kesi yake itaendelea pindi
atakapopata nafuu.



0 comments:
Post a Comment