Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao maalum cha Kamati Kuu ya CCM, Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma leo, Agosti 25, 2013. Kikao hicho kilifanyika kwa ajili ya kukutana Mbunge wa Bukoba mjini Khamis Kagasheki, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kagera, Constansia Buhiye, Katibu wa CCM mkoa wa Kagera Abedi Mushi, Mwenyekiti na Katibu wa CCM wilaya ya Bukoba mjini na Meya wa Manispaa ya Bukoba Anatory Amani kuhusu sakata la madiwani wa wanane wa CCM katika Manispaa ya Bukoba mjini. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kagera Constansia Muhiye na Katibu wa CCM wa mkoa huo, Abedi Mushi wakisubiri kuingia ukumbini kukutana na Kamati kuu mjini Dodoma leo.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Bukoda akiingia ukumbini
Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akimsalimia Mwana-CCM mwenye
ulemavu wa miguu, Shija Luhende kutoka Mwanza, ambaye alimkuta kwenye
viwanja vya Makao Mkuu ya CCM mjini Dodoma leo, akitafuta msaada wa
baiskeli.
akimsikiliza kwa makini mwana-CCM huyo
Mwenyekiti
wa Jumuia ya Wazazi ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,
Abdallah Bulembo akizungumza na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Jenista
Mhagama, nje ya ukumbi, Makao Mkuu ya CCM mjini Dodoma, leo.
0 comments:
Post a Comment