
Askari wa bunge la jamhuri wa Muungano wa Tanzania wakimdhibiti Mhe mbunge wa Chadema jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi a.k.a Suga nd
ani ya bunge wakati akitolewa ndani ya ukumbi wa bunge hilo mjini Dodoma leo. Picha kwa hisani ya Abuubakari Nasibu.

0 comments:
Post a Comment