Mbunge wa Nzega Dr. Kigwangalla, amechangia Muswada wa Katiba kwa kumshambulia Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe. Mbowe kuwa ni Mjinga, Mpuuzi, ametia aibu.
Kigwangalla amempongeza Naibu Spika kwa kumtimua Mbowe bungeni na kusema kuwa kitendo hicho kimemshikisha adabu.
Aidha,
mbunge huyo wa Nzega amedai kuwa Mbowe sio Mchaga bali ni mhuni
fulani aliyejivika sura ya Uchaga kwa masilahi yake binafsi !.
Kigwangalla alihitimisha mchango wake kwa kudai kuwa wapinzani wana akili za shetani zisizovumilika !. chanzo http://www.paparaziblog.blogspot.com
About mtanda blog
Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
0 comments:
Post a Comment