SIRI ya Aunt Ezekiel
kupigwa chupa club na kujeruhiwa vibaya katika mkono wake
imefichuka.
Habari za uhakika zinadai kwamba
Aunt alipig
wa chumba na mrembo wa
kike katika harakati zinazodaiwa kugombea penzi
la mwanaume.
Mwanaume aliyekuwa akigombaniwa ni
Jeff ambaye anadaiwa kuwa ni boyfriend wa
Yvonne (aliyempiga aunt chupa).
Kutokana na aibu hiyo, mastaa kadhaa
wameongea na mpekuzi kwa nyakati tofauti
na kueleza masikitiko yao dhidi ya aunt
Ezekiel ambaye ni mke wa mtu.
Katika maongezi hayo, mastaa hao walidai
kwamba mambo anayofanya aunt hayaendani na
matendo ya mke wa mtu. Aunt amekuwa ni mtu wa
baa, club na madanguro mengine ya usiku,
hali inayotia shaka uhai wa ndoa yake.
"Cha ajabu yeye ameanza kufanya mambo ya
aibu kwa kuendekeza ngono nje ya ndoa
yake" alisema star mmoja wa kike aliyekataa kuwekwa wazi jina lake.
Muigizaji mwingine wa kike ambaye hakuwa
tayari kuchorwa mtandaoni alisema:
"Aunt ajiangalie sana.Yeye ni
mke wa mtu kwa sasa. Kitendo alichokifanya kimemchafua mpaka ukweni
na asipokuwa makini atampoteza mume wake...
"Yvonne alikuwa anamlinda bwanake,
mi siwezi kumlaumu sana ila nyie wanaume ni watu wabaya sana pia"
0 comments:
Post a Comment