Wapiganaji wa JWTZ wakipita mbele ya Mgeni Rasmini wa sherehe za
kuwatunukia Nishani Maofisa wa JWTZ , katika viwanja vya Kambi ya Iddi
Bavuai Migombani Zanzibar.
MKUU
wa Majeshi Tanzania Davis Mwamunyange, akimvisha Nishani ya Utumishi
Mrefu Tanzania LT COL M.K.Saburi. kwa niaba ya Amiri, Jeshi Mkuu wa
Majeshi Tanzania Rais Jakaya Mrisho Kikwete, sherehe hizo zimefanyika
katika viwanja vya Kambi ya Jeshi Bavuai Zanzibar. http://www.zanzinews.com
MKUU
wa Majeshi Tanzania Davis Mwamunyange, akimvisha Nishani ya Utumishi
Mrefu Tanzania Meja II.Iddi, kwa niaba ya Amiri, Jeshi Mkuu wa Majeshi
Tanzania Rais Jakaya Mrisho Kikwete, sherehe hizo zimefanyika katika
viwanja vya Kambi ya Jeshi Bavuai Zanzibar
MKUU
wa Majeshi Tanzania Davis Mwamunyange, akimvisha Nishani ya Utumishi
Mrefu na Tabia Njema Tanzania Staf Sajeti Saida Mohammed,kwa niaba ya
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi Tanzania Rais Jakaya Mrisho Kikwete, sherehe
hizo zimefanyika katika viwanja vya Kambi ya Jeshi Bavuai Migombani
Zanzibar.
Wananchi na Wanafamilia wakihudhuria sherehe za kuvishwa Nishani ya
Utumishi Bora na wa Muda Mrefu Maosisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania.
Wageni waalikwa katika sherehe za kuwavisha Nishani ya Utumishi Bora na
wa Muda Mrefu Maofisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) katika
viwanja vya kambi ya Iddi Bavuai migombani Zanzibar.
Maafande wa JWTZ wakiwa na furaha baada ya kuvalishwa Nishani ya
Utumishi Bora nawa Muda Mrefu Tanzania katika viwanja vya Kambi ya Iddi
Bavuai Migombani Zanzibar.
Mkuu wa Majeshi Tanzania Devis A.Mwamunyange akiwa katika picha ya
pamoja na Maofisa wa Jeshi la Wananchi waliotunikiwa Nishani ya Utumishi
Bora na wa Muda Mrefu Tanzania, sherehe iliofanyika katika viwanja vya
Kambi ya Iddi Bavuai Migombani Zanzibar.
0 comments:
Post a Comment