YANGA YAKUBALI KIPIGO KUTOKA KWA AZAM FC LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA KWA 3-2 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM.
Mshambuliaji wa Yanga Hamis Kiiza akichuana na mlinzi wa Azam FC, Waziri Salam wakati wa mchezo wao wa ligi kuu ya vodacom Tanz
ania bara katika uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam ambapo katika mchezo huo Yanga ilikubali kipigo cha bao 3-2.
Mshambuliaji wa Yanga Didie Kavumbago akipimana msuli na mliniz wa Azam FC Kipre Balou katika mchezo huo. Picha na Francis Dande.
0 comments:
Post a Comment