BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

ASKOFU MKUU WA KKKT DK MALASUSA AZINDUA RASMI NA KUWEKA WAKFU KANISA LA USHARIKA WA MABIBO EXTERNAL JIJINI DAR ES SALAAM.


Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa akikata utep

e katika ibada maalum ya ufunguzi rasmi na kuwekwa wakfu kwa kanisa la usharika wa Mabibo External, Dar es Salaam.


Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa, akimtambulisha kwa waumini wa kanisa hilo la usharika wa Mabibo External, sanjari na kumtia moyo katika utendaji wake, Mbunge wa Jimbo la Ubungo-Chadema, John Mnyika, kwenye ibada maalum ya ufunguzi rasmi na kuwekwa wakfu kwa kanisa la usharika wa Mabibo External, Dar es Salaam.Picha Zote na Dande Francis.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: