BREAKING NEWS !!! NDEGE YAANGUKA IKIWA KATIKA MAFUNZO JIJINI DAR ES SALAAM mtanda blog 5:14 PM Edit NDEGE ndogo ya Kampuni ya Aslum imeanguka eneo la Gongolamboto DSM ikiwa kwenye mafun zo ya vitendo kwa mwanafunzi wa urubani. Ndege hiyo ilikuwa na rubani mmoja na mwanafunzi mmoja. TAARIFA ZAIDI ZITAWAJIA HIVI PUNDE Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About mtanda blog Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment