
Shabiki huyu sijui alimruhusu amnyonya maziwa Shilole baada ya kumuita jukwaani ili wach
eze wote. Mhhhhh hatari kweli kweli.

Kazi ipo !!!, Shilole akionyesha kulegea baada ya kunyonywa na shabiki wake huyu mwanaume.

jamaa akifaiti ziwa la Shilole






Sijui huu ndiyo muziki gani unaochezwa hivi, sidhani kama mtu atasutwa kufanishwa na kitendo hiki kinachofanywa na watu wenye jinsia mbili tofauti katika faragha.



3 comments:
TO BE HONEST SIJAPENDAA KBISAA STYLE YAKE HII MAANA INAWAFUNDISHA NN JAMIII KAMA SIO UMALAYAAAA TUUU
ningekuwa waziri wa utamaduni na michezo ningefungia muziki wa aina hii!
wanaoshabikia maovu ndio wanaokuza sokola wacheza uchi,wasanii wanajua fika kuwa wakicheza staili za ngono mashabiki wengi wanapenda ndio maana wanafanya hivyo ili kushibisha njaa ya soko,ibadilike jamii na kukemea vitendo viovu wasanii hawa watakosa mahala bpa kufanyia uchafu wao
Post a Comment