BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HAYA NDIYO MAZOEZI YANAYOAMINIKA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME.


UPUNGUFU wa nguvu za kiume ni hali ambayo mwanaume au mvulana anapungukiwa au kukosa kabisa nguvu za kusimamisha viungo vyake wakati wa tendo la kujamiiana.

Pia inaweza kuwa ni hali ya mwanaume kuwahi kumaliza wakati wa tendo, au kuwa na nguvu hafifu. Utafiti unaonesha kuwa wanaume wengi duniani wanasumbuliwa na tatizo hili ingawa hakuna uwazi wa kutosha wa kulielezea tatizo lenyewe.

Idadi kubwa ya wanaume wana nguvu ndogo, nguvu ambayo haikidhi matakwa ya wenzi au wake zao, huku idadi nyingine kubwa wakiwa hawana kabisa nguvu hata kidogo. 

Inaelezwa kuwa tatizo hili limesababisha ndoa nyingi kuvurugika na limesababisha maumivu makubwa kwa watu ambao wako kwenye uhusiano.

Watafiti wa mambo ya uhusiano na mapenzi wamejaribu kutafuta vyanzo mbalimbali vya tatizo hili na mbinu za namna ya kulitatua. Licha ya kiusababisha ndoa nyingi kuvurugika inaelezwa kuwa tatizo hili limepunguza kwa kiwango kikubwa uwezo wa wanaume kujiamini na kushusha ufanisi wao majumbani mwao na sehemu za kazi.

Watafiti mbalimbali wamejaribu kwa miaka mingi kutafuta tiba ya kudumu ya tatizo hili. Miongoni mwa watafiti ambao wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuwarudishia wanaume uwezo wao, ni Daktari Arnold Kegel. 

Daktari huyu aligundua aina ya mazoezi ambayo yamethibitishwa ulimwenguni kote kuwa na uwezo mkubwa wa kumrudishia mwanaume nguvu zake, hata yule ambaye hakuwa nazo kabisa (hanithi).

Mazoezi hayo yamepewa jina la mgunduzi wake na yanafahamika duniani kote kwa jina la Kegel.

KEGEL NI NINI?
Kama nilivyoeleza , haya ni mazoezi maalum ambayo huhusisha misuli ya Pelvic inayopatikana kwenye eneo lililozunguka viungo vya uzazi vya mwanaume, kwa upande wa ndani wa mwili.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: