BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

KUSHINDWA KWA KUTII AMRI BILA SHURUTI WAPELEKEA MWANAMKE KUPIGWA RISASI WAKATI AKITAKA KUINGIA IKULU YA MAREKANI NA KUFARIKI DUNIA PAPO HAPO.



Risasi zimesikika katika mji wa Washington DC baada ya Mwanamke mmoja aliekuwa akiend

esha gari kwa kasi kutaka kuingia katika Ikulu ya Marekani ''WHITE HOUSE" pasipo kufuata sheria ya kusimama katika vizuizi vilivyopo katika eneo hilo la ikulu ili akanguliwe.

Baada ya kuona Mwanamama huyo hataki kutii amri ya kusimama ndipo wanausalama wa Ikulu walipoamua kumfyatulia risasi na ndipo mahuti yalipomkuta na ndani ya Gari baada ya kuikagua walikuta kuna mtoto mdogo wa kike.

Polisi walidhania ni tukio la ugaidi habari zaidi soma hapo chini.........!!!

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: