Mshambuliaji wa Simba, Haruna Chanongo akichuana na beki wa Ruvu shooting, stephano Mwasyika.
Amri Kiemba akichuana beki wa Ruvu Shooting, Abuu Hashim.
Hekaheka katika lango la Ruvu Shooting.
Mshambuliaji
wa Simba, Betram Mombeki akimiliki mpira huku akizongwa na beki wa Ruvu
Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania bara uliofanyika
leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Golikipa wa Ruvu Shooting, Abdul Seif akiokoa moja ya hatari langoni mwake.
Henry Joseph, Abel Dhaira na Joseph Owino wakibadilishana mawazo wakati wakitoka mapumziko. Picha na Francis Dande
0 comments:
Post a Comment