Ujumbe ukisomeka kwa lugha ya kingereza "For every Musila Killed in Kismayo Kenya will pay the Price"
Bango lenye ujumbe ulioandikwa kwa kiswahili unaosomekana "Asiye sikiya la Westgate ata fundishwa na yajayo" huku sehemu kubwa ikiwaonyesha raia wa nchi ya Ethiopia ambako kuna makao makuuu ya kundi hilo la wanamgambo wa Al Shabaab.
Hapa bango hili likiwa na manano "Nairobi Tushafika"
Sehemu ya akina mama na watoto wakiwa wamekaa huku kukiwa na bango lenye ujumbe kama wa hapo juu.
Wanaume wakiwa kwenye michezo ya kuvta kamba katika sherehe hiyo ambayo imetafrisiwa kama sehemu ya kusherehekea kwa tukio lililofaywa westgate mjini Nairobi nchini Kenya iliyoenda sambamba na sikukuu ya Eid El Hajj.
0 comments:
Post a Comment