BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

TETEMEKO LA ARDHI LILIVYOLETA MADHARA KATIKA NYUMBA ZA MAKAZI YA PHILIPPINE


Imefahamika kwamba idadi ya waliopoteza maisha kutokana na tetemeko lililotokea Philippine inafikia 20 ambapo lilikua na ukubwa wa 7.2 huku likiangusha baadhi ya majengo makubwa likiwemo kanisa maarufu na wengine wamefariki wakiwa kwenye soko la samaki kwenye jiji la Cebu.

Kutokana na tetemeko hilo The Pacific Tsunami warning center huko Hawaii wametoa tamko kwamba hakuna dalili zozote za kutokea kwa tsunami kwenye eneo hilo ambalo watu zaidi ya 33 wamejeruhiwa.

Majengo mawili pamoja na fish port yaliangushwa huko Cebu City ambao ni mjia wa tano kwa ukubwa nchini Philippines ambapo pia ni jiji ambalo linalofanya vizuri zaidi kwa utalii.


Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: