
Picha na Maktaba..
Taarifa zilizotufikia Hivi Punde zinasema Mtu Mmoja afariki dunia na wengine 39 wareruhiwa kwa Risasi katika kijiji cha Lukindo Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro kwenye Mgogoro wa wakulima na Wafugaji Wanaogombea Bonde la Mgongolwa.Muda huu.Endelea Kuwa nasi Kwa Taarifa Zaidi.

0 comments:
Post a Comment