KUMBE HATA SUFURIA INAWEZA KUFANYA KAZI YA MTUMBWI HASA KATIKA MAJANGA YA MAFURIKO.
SUFURIA inafahamika kwa matumizi ya ndani ya nyumba ikiwemo kupikia, kuhifadhia vitu mbalimbali n:k lakini imebainika kuwa sufuria hiyo hiyo yenye matumizi yaliyoorodheshwa hapo kumbe inaweza kutumika kama mtumbwi hasa katika majanga kama ya mafuriko, kama raia huyu akitumia katika matumizi mengine yakiwemo ya kukigeuza sufuria kuwa mtumbwi ili aweze kutumia kutoka sehemu moja kwenda nyingine huko katika nchi za wenzetu walioendelea.
0 comments:
Post a Comment