Mhariri mtendaji wa JamboLeo Willie Edward aliyetutoka 2012 akijitambulisha katika mkutano wa kwanza wa mwaka wa mashauriano kati ya MCT na wahariri wa vyombo vya habari uliofanyika Manispaa ya Morogoro tarehe 4/6/2012 Hoteli ya Nashera.PHOTO/MTANDA BLOG
Hapa Edward kushoto akibadilishana mawazo na wahariri wenzake nje ya hoteli ya Nashera. PHOTO/MTANDA BLOG
Hapa wa pili kutoka kushoto akifuatilia jambo katika mkutano huo.
Hii ni siku ya pili ya mkutano huo Willie Edward kushoto akisikiliza hoja.PHOTO/MTANDA BLOG
Hapa akifuatia kwa umakini matukio yaliyokuwa yakiendelea.
Huyu
ndiye Julius Nyaisangah ambaye naye amefariki dunia hivi karibuni akiwa
katika mkutano huo na kuchangia moja ya ajenda zilizokuwa zikiendelea
katika mkutano huo.PHOTO/MTANDA BLOG
Mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera kulia akibadilishana mawazo na Julius Nyasangah wakati wa hafla ya waandishi wa Abood Media kutunukiwa vyeti mara baada ya kuhitimu kozi maalum ya mafunzo ya redio katika ukumbu wa Chilakale tarehe 28/8/ 2012 mkoani Morogoro.HUYU NDIYE DAUD MWANGOSI MWENYE KAMERA MUDA MFUPI KABLA YA KUMKUTA UMATI ULIOTOKANA NA KUPIGWA BOMU.
0 comments:
Post a Comment