BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

PUNGUZA MAWAZO KWA KUANGALIA PICHA HIZI KISHA AANZA KUCHEKA TARATIBU.

 
Simba dume akitimua mbio kukwepa dhahama ya kupgwa na nyati baada ya kustukiwa na windo lake, hali kama hii inafaa kwa kujihami hata kama una ubabe wa namna gani mbele ya wengi. kicheko angalia kwa umaki nyati wa kushoto namna alivyo na usongo wa kumrukia mzima mzima.
Hawa ni wale wananchama wa vyama vya siasa vyenye upinzani mkali baina ya Chadema na CCM katika tukio la kugombe mti wa kuwekea bendera, kicheko cha hii picha mwangalie huyo mwanaccm mwenye bahasha akijiandaa kurusha jiwe kushoto lakini mwinge ni yule mwenye jiwe kulia ndani, sijajua kama mfuasi huyu wa Chadema alifanikiwa kukwepa lakini na namna anavyowapiga chenga kundi kula la maadui zake.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: