
Nape Nnauye, kutangaza rasmi kuwa atahakikisha wanachukuliwa hatua za kuwajibishwa kutokana na kushindwa kutekeleza majukumu yao.
Wakati Nape akitaka mawaziri hao watimuliwe, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulhaman Kinana, amesema kuwa mawaziri hao watawekwa kiti moto katika kikao kijacho cha Kamati
Kuu (CC), kwa lengo la kueleza ni hatua gani wanachukua katika
kushughulikia matatizo ya Watanzania.
Mawaziri hao ni Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mhandisi
Christopher Chiza, Naibu wake, Adamu Malima na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa ambaye ametajwa kuwa sehemu ya matatizo katika kila wizara anayopewa kuiongoza. TANZANIA DAIMA.
0 comments:
Post a Comment