Kijana mwenye umri chini ya miaka 15 akihangaika kuwasha pikipiki ili kuendesha katika barabara itakayo Masika na kupita Msikiti wa Kingo Juwata Manispaa ya Morogoro jambo ambalo ni hatari sana kwa kijana mdogo kutumia chombo cha moto bila ujuzi wa kutoka, MTANDA BLOG ulimshuhudia mtoto huyo akiendesha pikipiki hiyo pasipo kuwa na ujuzi wa kutoka jambo ambalo endapo barabara hiyo ingekuwa na mageri mengi ingeweza kusababisha ajali kutokana na kitendo hicho.
Hapa baada ya kufanikiwa kuiwasha akielekea eneo la Juwata.
0 comments:
Post a Comment