

Baadhi ya waandishi wa habari wakishuhudia uzinduzi wa kituo cha kutolea msaada kwa waathirika wa Ukatili wa kijinsia leo jijini Dar es Salaam

Mkuu wa Wilaya ya Ilala Raymond Mushi akisikiliza maelekezo kutoka kwa watoa huduma wa kituo cha One Stop Centre kitakachokuwa kinatoa msaada wa kisheria na ushauri kwa waathirika wa Ukatili wa Kijinsia leo jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Wilaya ya Ilala Raymond Mushi (mwenye suti nyeusi) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wadau wa dawati la jinsia kutoka jeshi lapolisi, wizara ya afya na shirika la fhi mara baada ya uzinduzi wa kituo cha kutolea huduma kwa waathirika wa Ukatili wa Kijinsia leo jijini Dar es Salaam.
Picha zote na Frank Shija - Maelezo(P.T)
0 comments:
Post a Comment