BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

DK WILLIAM MGIMWA ALAZWA HOSPITALI YA MILPARK NCHINI AFRIKA YA KUSNI

 
WAZIRI WA FEDHA WA TANZANIA DK WILLIAM MGIMWA.


HALI ya waziri wa fedha, Dk.William Mgimwa imeelezwa kuwa ni mbaya na amelazwa katika hospitali ya Milpark nchini Afrika kusini tangu mwishoni mwa wiki iliyopita.



Habari hii imeripotiwa na Gazeti la Raia Mwema la tarehe 04/12/2013 ambalo limenukuu vyanzo kutoka serikalini vikidai hali ya waziri huyo ni mbaya.Pia, imeelezwa kuwa katibu mkuu wa wizara ya fedha,Dk.Likwelile, alikwenda Afrika Kusini siku ya Jumatatu iii kufuatilia hali ya waziri wake.
CHANZO:Raia Mwema.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: