HII NI HATARI JAPO NDANI YAKE KUNA MASIHARA.
Kijana akiwa amempalamia ng'ombe mgongoni wakti wakiwa katika michezo yake.
Huyu ni askari aliyeamua kukalia bunduki yake baada ya kusimama kwa muda mrefu na jambo aliloliona kupumzisha uchovu wake ndiyo hivyo lakini haikuweza kufahamika kama silaha hiyo ilikuwa na risasi ama alaa japo ni hataria kwa maisha yake.
Kijana wa kihindi akiwa amewapakia wenzake watano na kufanya idadi yao kuwa sita katika pikipiki moja wakati wakisafiri kutoka eneo moja kwenda lingine jambo hilo ni hatari na linapinga kabisa na sheria za usalama barabarani duniani kote, kwa Tanzania kitendi kinafananishwa na nyama ya mishikaki wakiwa na maana ya upakiaji wake abiria.
0 comments:
Post a Comment