BASI LA ALLYS YAUA ABIRIA SABA JANA USIKU BUHONGWA-MWANZA.
Basi la kampuni ya Allys Sport Bus linalosafirisha abiria kutoka Dar es Salaam na Mwanza likiwa limeacha njia na kupinduka baada ya kutokea ajali inayodaiwa kusababishwa na basi la Shabiby lililokuwa likitokea mkoani Dodoma kwenda Dar es Salaam na kusababisha mabasi matatu kuacha njia katika eneo la Mkundi Makunganya barabaraba kuu Dodoma-Morogoro ambapo katika ajali hizo zaidi ya abiria 40 walijeruhiwa mkoani Morogoro. PICHA MAKTBA/MTANDA BLOG. WATU saba wamekufa papo hapo na wengine wengi kujeruhiwa baada ya basi la Allys linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam hadi Mwanza kugongana uso kwa uso na daladala katika eneo la Buhongwa mkoani Mwanza.
0 comments:
Post a Comment