BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MWANA FA HIKI NDICHO ALICHOANDIKA BAADA YA KIFO CHA NGWEAH IKIWANI NI MIEZI 7 TANGU AFARIKI DUNIA.

b8203d365db211e3b0011203b0247fd0_8
Ni miezi 7 sasa tangu Tanzania impoteze mmoja wa rapper wakali zaidi kuwahi kutokea Tanzania, Albert Mangwair. Miongoni mwa watu waliowahi kuwa karibu naye ni pamoja na Mwana FA ambaye anadai aliwahi kumwambia kuwa kwenye kichwa chake ana zaidi ya Range Rover nne japo hataki tu kuzichukua.
Leo FA amepost picha ya mwaka 2010 inayomuonesha akiwa na Ngwair, Songea.

“Been thinking of him a lot leo…so was like,I might as well repost this…Songea 2010,me n my ninja,Cowboy Albert ‘Ngwea’…RIP..you’re missed hommie…I’ll mourn you till I join u brethren…pumzika son,” ameandika FA kwenye Instagram.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: