MWANAUME HACHAGUA KAZI NDIVYO ILIVYO ILIMRADI WATOTO WANAPATA MKATE WA KILA SIKU !!!.
Mkazi wa Manispaa ya Morogoro akiwa amejitwisha lundo la kiroba chenye chupa tupu za maji kichwani mara baada ya kuzikusanya katika mitaani mbalimba wakati akielekea kwa wanunuzi wa bidhaa hiyo eneo la makutano ya Old Dar es Salaam na DDC mkoani Morogoro.PHOTO/MTANDA BLOGMfanyakazi wa halmashauri ya Manispaa ya Morogoro akiwa amebeba toroli lenye uchafu huku akiwa hajavaa soksi ngumu za mikononi mara baada ya wafanyakazi wenzake kutoa takangumu katika mitaro inayozunguka stendi kuu ya daladala yaendayo nje ya Manispaa hiyo lengo likiwa kuyawezesha maji kupita bila vikwazo mkoani Morogoro.PHOTO/MTANDA BLOG
0 comments:
Post a Comment